Mume Amfukuza Mkewe, Amnyang’anya Hati Ya Nyumba Na Gari – Mama Pili Asimulia – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji Khadija Omary maarufu kama Mama pili ameeleza kuwa kati ya Wasanii anaowapenda ni pamoja na Dr. Almas
Amefunguka zaidi kuwa kama ikatokea nafasi ya kuanza naye familia yupo tayari.

