The House of Favourite Newspapers

Muonekano wa Dar Live Yatakapofanyika Mapambano ya Ngumi Usiku wa Leo

0
Muonekano wa ulingo yatakapofanyika mapambano ya ndondi yaliyoandaliwa na Global TV Online katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar, leo usiku.

Matayarisho ya mapambano ya ngumi ya Afrika Mashariki na Kati yaliyoandaliwa na Global TV Online katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem, jijini Dar es Salaam yamekamilika na kinachongojewa kwa sasa ni wadau mbalimbali walioalikwa kuingia ukumbini hapo kuanzia sasa.  Mapambano hayo yataonyeshwa mubashara (live) kuanzia saa 2:00 usiku leo.

Mapambano hayo ambayo yatarushwa mubashara na Televisheni ya Mtandaoni ya Global TV Online BURE, yatakuwa kama ifuatavyo:

CHICHI MAWE VS ISRAEL KAMWAMBA

NASIBU RAMADHAN VS BERNARD MWANGO

IDD PIALALI (TANZANIA) VS REGION CHAMPION (MALAWI)

Subscribe hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Leave A Reply