The House of Favourite Newspapers

MUSUKUMA: “Lema Sasahivi Amekuwa Binadamu, Mbona CCM Wamechinjwa Kibiti, Acheni Kelele” – VIDEO

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma, amemuomba, Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, kupeleka bungeni muswada ili waweze kubadilisha sheria ili makosa ambayo hayastahili mtu kufungwa basi wapewe adhabu nyingine.

 

Aidha mbunge Musukuma amesema hakuna haja ya Wabunge kufikisha hoja na kupiga kelele bungeni juu ya matukio ya watu kupotea na kutekwa, badala yake waviache vyombo vya sheria vifanye kazi yake huku akisema Mbunge Godbless Lema amejifunza baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa mwaka jana hivyo sasa amebadilika na kuwa ,binadamu’.

Comments are closed.