The House of Favourite Newspapers

MV NYERERE: JPM APOKEA RAMBIRAMBI SH. 125M KUTOKA KWA RAIS KENYATTA

Rais John Magufuli amepokea hundi ya shilingi milioni 125 kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambayo iliwasilishwa na Balozi wa Kenya hapa nchini, Dkt. Dan Kazungu ikiwa ni rambirambi ya ajali ya MV Nyerere iliyotokea Septemba 20 mwaka huu, Ukerewe Mwanza.

Comments are closed.