Mvua Kubwa Yasababisha Foleni Dar

 

1.Magari yakiwa katika foleni eneo la Bamaga Magari yakiwa katika foleni eneo la Bamaga-Mwenge.2.Foleni ilivyoonekana katika eneon la kutokea Bamaga kuelekea Shekilango..Foleni  katika makutano ya barabara za Shekilango na Ali Hassan Mwinyi.

3.Taswira nyingine ilivyokuwa eneo hilo.

MVUA iliyoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo imesababisha foleni ndefu katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam hasa katika eneo la Bamaga-Mwenge.

Mtandao huu umefanikiwa kunasa picha zinazoonyesha magari yakiwa katika foleni ndefu katika makutano ya barabara za Shekilango na Ali Hassan Mwinyi eneo la Bamaga.

NA DENIS MTIMA/GPL


Loading...

Toa comment