Kartra

Mwakinyo Amtwanga Idongo kwa TKO – Video

Bondia namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo ametetea ubingwa wa Super Welterweight baada ya kumpiga Bondia Mnamibia Julius Munyelele Indongo maarufu kama Blue Machine katika Raundi ya nne tu ya mchezo kwa TKO kwenye pambano lilofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.


Toa comment