Mwakinyo: Watanzania Wajekushuhudia Arney Tinampay Akipigwa – Video

Bondia Mtanzania ambaye anashika namba moja kwa Afrika, Hassan Mwakinyo amewaomba Watanzania na mashabiki wake wote kujitokeza kwa wingi kwenye pambano lake na bondia Arney Tinampay wa Ufilipino huku akiwahakikishia kumpiga ili kutunza heshima ya nchi.

 

Toa comment