The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mwanafa atoa tamko kwa Steve Nyerere

0

MwanaFA; ni staa wa Hip Hop Bongo na Mbunge wa Jimbo la Muheza jijini Tanga ambaye amelazimika kutoa tamko rasmi kwa niaba ya wasanii wenzake juu ya uteuzi wa Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT).

MwanaFA ambaye aliwahi kuwa Kiongozi wa Chama Cha Muziki wa Kizazi Kipya (TUMA) ameipa Bodi ya Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) saa 48 wawe wamekaa na kutoa suluhu ya jambo.

mwanaFA amesema kuwa, uteuzi wa Steve Nyerere umekiuka taratibu za upatikanaje wake kwa kuwa hana vigezo vinavyohitaji ili mtu awe msemaji wa shirikisho hilo.
Cc; @sifaelpaul

Leave A Reply