The House of Favourite Newspapers

Mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa alivyozikwa Serengeti-Mara

0

Sanchawa grave

Kaburi la aliyekuwa  mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa, baada ya kuzikwa majuzi kijijini kwao Mugumu, Serengeti mkoani Mara.

sanchawa (3) sanchawa (4)Ndugu wakiendelea na kikao kabla ya mazishi.

sanchawa (1)Ndugu jamaa na marafiki wakiwa msibani hapo.

sanchawa (2)Mfanyakazi wa Global Publishers, Makongoro Oging’ akipata supu msibani hapo.

(Picha: Lawrence Kabende Serengeti-Mara/GPL)

Leave A Reply