Kartra

Mwandishi Gabriel Kandonga Afariki kwa Ajali – Video

Mwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na kamati ya bunge inayoshughulikia masuala ya Ukimwi na Dawa za Kulevya ambayo inaendelea na ziara yake wilayani Songwe


Toa comment