Mwenezi Makalla Awataka Wananchi Kujiandikisha Katika Daftari la Mpiga Kura

Uchaguzi wa serikali za mitaa ni Uchaguzi Muhimu sana Chama cha Mapinduzi ni chama cha Siasa na lengo la chama cha siasa ni kushika dola na ili ushike dola lazima ushinde Chaguzi zote na Uchaguzi wa kwanza tunaoanza nao ni huu wa Serikali za Mitaa ambao ndo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na tukishinda uchaguzi huu tuweke rekodi nzuri ya Ushindi wa kishindo ili mwakani tuendeleze Ushindi huu hivyo itakuwa kosa kama hatuta wakumbusha kujiandisha kwenye daftari la Uchaguzi ili tuwe wengi .
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla amesema hayo wakati akizungumza na Wananchi viwanja vya Sekondari Liwiti jimbo la Segerea.
