The House of Favourite Newspapers

Mwenge wa Uhuru wazindua miradi Dar

0

34Mwenge ulipowasili eneo la kituo cha daladala cha Mwanachi kutokea Kinondoni tayari kwa kupokelewa na Manispaa ya Wilaya ya Ilala jana.

1Wananchi wa Wilaya ya Ilala walivyokuwa wamejiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea Kinondoni.2…Wakiushangilia mwenge (haupo pichani).5…Ukiwekwa sehemu maalum iliyokuwa imeandaliwa.6

7Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi (kushoto) akimkabidhi mwenge huo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, baada ya kuingia kweye wilaya yake.

8

9Watoto wa halaiki wakifanya yao baada ya kuupokea mwenge ukitokea Kinodoni kuingia Ilala.

10.Kiongozi wa mbio za mwenge kwa mwaka 2016, George Jackson Mbijima (katikati) akizungumza jambo baada ya kuzindua mradi wa jengo Hospitali ya Regency jijini Dar.

11.Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Regency wakipiga picha na wakimbiza Mwege kitaifa 2016.

12George Jackson akikata utepe kuzindua mradi wa usafi wa mazingira katika bustani iliyopo ‘Fire’ Kariakoo.

13Eneo la bustani iliyozinduliwa ‘Fire’.

14.

15..Miongoi mwa miradi ya Zahanati ya Yongwe iliyoko Chanika iliyowekewa jiwe la msingi.

 

16George Mbijima akiwa amemaliza uweka jiwe la msingi katika zahanati ya Yongwe.

17

18Viongozi wa mbio za mwenge wakiongozwa na Raymond Mushi wakizindua mradi wa mabwawa ya samaki yaliyoko Chanika nje kidogo ya jiji la Dar.

19…Wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizokuwa kwenye mabanda katika viwanja vya Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.

Na Denis Mtima/Gpl

MWEGE wa Uhuru katika mbio zake kwa mwaka huu (2016) jana umezindua miradi mbalimbali na kuweka mawe ya msingi katika majego yaliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya IIala jijini Dar.

Miradi hiyo iliziduliwa jana wakati mwege huo ulipotua kwenye wilaya hiyo ukitokea wilaya ya Kinondoni ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, ndiye alikuwa akiwaongoza viongozi wa mbio hizo kuzunguka maeneo mbalimbali na kuzindua miradi.

Miongoni mwa miradi iliyozinduliwa ni ujenzi wa jengo la gorofa kumi katika Hospitali ya Regency, bwawa la ufugaji samaki lililoko Chanika, ujenzi wa soko la Kigogo-Chanika, Zahanati ya Yongwe iliyoko Chanika na vyumba vya madarasa vilivyowekewa mawe ya msingi.

Mwenge huo unatarajiwa kukabidhiwa leo katika wilaya ya Temeke ukitokea Wilaya ya Ilala ambapo kaulimbiu yake mwaka huu ni: “Vijana nguvu kazi ya taifa washirikishwe na kuwezeshwa”.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply