Mwenge Yashukiwa na Neema za Meridianbet
Ikiwa leo hii ni Jumamosi tulivu kabisa, meridianbet walifunga safari hadi maeneo za Mwenge jijini Dar es salaam kwaajili za zoezi moja tuu, ambalo ni kugawa Reflectors kwa dereva bodaboda na bajaji ambazo zitawasaidia wakiwa kwenye kazi yao.
Kama tunavyojua matumizi za Reflectors hizo ni kuwasaidia kuwakinga na ajali hasa nyakati za usiku kwani mara nyingi ajali hutokea nyakati hizo kutokana na watu wengi kuwa na mwendo mkali na kutozingatia alama za barabarani, lakini pia hiyo itawasaidia wao kuonekana kwa urahisi wakiwa wamezivaa.
Na ikumbukwe kuwa hii sio mara za kwanza kwa Meridianbet kugawa Reflectors kwa boda boda, Dereva bajaji na hata kwa wale wasimamizi wa maegesho za magari katika maeneo mbalimbali lakini safari hii wameamua kuwageukia bodaboda wa Mwenge kwani eneo hilo kubwa na limekua kwa kiasi kikubwa na wapo sana.
Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya wanakwambia hivi Jumamosi za leo ndio siku pekee za wewe kujipigia mkwanja wako kwa kubashiri mechi zako uzitakazo na kuchagua machaguo sahihi. Kule EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, kitawaka hasa. Suka mkeka wako na uweke jamvi lako sasa.
Na safari hii haikuwa kwa boda boda na bajaji pekee bali hata kwa wasimamizi wa maegesho ya Maegesho, Leo wamewafikia madereva hao katika eneo la Mwenge ikiwa eneo hilo ni eneo mojawapo kubwa katika usafirishaji jijini Dar es salaam.
Zoezi hilo lilianza asubuhi kabisa ambapo timu ya meridianbet walifurahia mapokezi ambayo waliyapata kwa wakazi wa Mwenge kwani ujio wao ulikuwa wa faida kwa dereva bodaboda na bajaji kwani Reflectors zina faida sana kwa watuamiaji wa vyombo vya barabarani.
Nancy Ingram alisema kuwa, “Tunathamini sana Usalama wa Barabarani ndio maana tunagawa vifaa hivi kwa Madereva na Wasimamizi wa Maegesho ili kuweza kuhakikisha usalama wao hasa wakati wa majukumu yao ya kazi”
Baada za kupokea vifaa hivyo madereva hao waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada huo na kuwaambia watu kuwa watumie meridianbet kufanya ubashiri kwani wao wameonyesha kuwajali wananchi ambao kwa namna moja hutumia kampuni hiyo kufanya ubashiri.
Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.