The House of Favourite Newspapers

Mwenyekiti UVCCM Taifa, Sadifa, Akamatwa na TAKUKURU

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, Sadifa Juma Khamis (MB).

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amekamatwa na maofisa  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma,  akidaiwa  rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Kagera kwa ajili ya mkutano mkuu unaotarajiwa kufanyika  Dodoma.

Comments are closed.