Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Alivyoongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Taifa Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 17 Januari 2025, ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika leo tarehe 18 na 19 Januari 2025, jijini Dodoma.
![]()

![]()

![]()

![]()









