Mwenyekiti Wa CCM Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma jana tarehe 10 Juni 2020.



