MWENYEKITI WA MISA TANZANIA ATEMBELEA GLOBAL GROUP

Mwenyekiti wa Misa Tanzania Salome Kitomari akisalimiana na Mhariri Mwandamizi na Mkuu wa Maadili wa Global, Elvan Stambuli.

Mwenyekiti wa Misa Tanzania, Salome Kitomari, leo ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori jijini Dar na kuzungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo. Salome aliwapongeza wafanyakazi hao aliowakuta wakiwa bize na majukumu yao ambapo alitambulishwa kwa maofisa mbalimbali.

Salome  Kitomari akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Lucy Mgina alipotembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori jijini Dar jana. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global, Eric Shigongo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Global, Eric Shigongo akimueleza jambo Salome.

Kutoka kushoto, Elvan Stambuli na Wahariri, Richard Manyota, Eric Evarist na Aziz Hashim wakimsikiliza Salome (hayupo pichani)

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

 

Loading...

Toa comment