Mwijaku Achukua Fomu ya Uspika

Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Burton Mwemba maarufu kwa jina la Mwijaku amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Mwijaku, amejitokeza leo Ijumaa Januari 14, 2022 kuomba nafasi ya kuwania kiti cha Uspika katika Ofisi za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, katika zoezi la uchukuaji fomu hizo linaloendelea ili kuanza kwa mchakato wa kumpata mrithi wa Job Ndugai ambaye alijiuzulu wadhifa huo.3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment