The House of Favourite Newspapers

MWIJAKU – “Mchumba wa MC Pilipili / Ana Mapungufu / Anatia Hasara” – VIDEO

Muigizaji wa filamu nchini, Mwijaku, amesema ubuyu unaosambaa mitandaoni ukidai kuwa Mchumba wa MC Pilipili anayeitwa Qute Mena ana uhusiano wa kimapenzi na MO J Ambaye ni mzazi mwenziye na Gigy Money, sio wa kweli.

Mwijaku amesema msichana huyo ni kweli ana mapungufu yake lakini hawezi kutembea na baba mtoto wa Gigy haswa kwa kipindi hiki ambacho amevalishwa pete ya uchumba juzi tu na Watanzania wote kumshuhudia MC Pilipili akimwaga machozi wakati wa kumvalisha pete hiyo.

Comments are closed.