The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi Wazikwa Kijeshi..

0
Jeneza lenye Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi likiwa limebebwa na askari Polisi.
Gari lililobeba Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel NchimbiĀ 
Askari Polisi wakishusha Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.
Mtoto wa Balozi mzee John Alfonso NchimbiĀ  aitwaye Dkt. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akishuhudia jeneza lenye mwili wa baba yake likiingia kaburini.

 

Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi aliyefariki dunia Januari 23, 2022 katika Hospitali ya JKCI, umeagwa rasmi kwenye ibada iliyofanyika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Pio jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, leo Jumanne, Januari 25, 2022 ambapo katika maziko hayo amepigiwa mizinga 10 ya heshima ya kijeshi.

Leave A Reply