The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi ulivyowasili Msikiti wa BAKWATA Kinondoni Dar – ViDEO

Mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi, ulivyowasili katika Msikiti wa BAKWATA Makao Makuu Kinondoni Dar es Salaam, kwa ajili ya swala ya Ijumaa na taratibu zingine za kidini.