Mwili wa Mugabe Kuwasili Jumatano, Kuzikwa Jumapili

MWILI wa rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuwasili nchini humo Jumatano, Septemba 11, mwaka huu na mazishi yatafanyika Jumapili, Septemba 15.

 

Rais Mugabe alifariki dunia Septemba 6 huko nchini Singapore alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi Aprili, 2019.


Loading...

Toa comment