The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Mwigizaji Caren ‘Carina’ Kuwasili Nchini Aprili 18 – Video


Familia ya marehemu Carina, imeeleza kuwa mwili wa ndugu yao aliyefariki dunia nchini India akiwa anapatiwa matibabu, unatarajiwa kuletwa nchini April 18, 2025.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.