The House of Favourite Newspapers

MWILI WA SAVIMBI KUFUKULIWA BAADA YA MIAKA 27

MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola. Jonas Savimbi, aliyeuawa mwaka 2002, unatarajiwa kufukuliwa mwezi ujao kwa ajili ya vipimo vya DNA.

 

Savimbi alifariki wakati wa mapigano  kati ya kundi lake na majeshi ya serikali miaka 27 iliyopita na alizikwa katika jimbo la Moxico lililopo mashariki mwa nchi hiyo.

 

Wiki sita baada ya kifo chake kundi lake lilisaini mkataba wa amani na majeshi ya serikali.

Comments are closed.