The House of Favourite Newspapers

MWINGINE KUTOKA MBEYA ASHINDA BEATS BY DRE ZA SPOTI XTRA

Mhariri Msaidizi wa gazeti la Spoti Xtra, Samson Mfalila (kulia) akimkabidhi mshindi zawadi.

MSHINDI wa shindano la Gazeti la michezo la Spoti Xtra la kuwania headphones za Beats by Dre, Mwinyi Twaha, mkazi wa Mbeya, amekabidhiwa zawadi yake hiyo leo Jumatatu katika ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam

Mdogo wake, Fadhili Mwinyi ndio alipokea zawadi hiyo kwa niaba yake na kuwahamasisha wasomaji wa gazeti la Spoti Xtra kushiriki shindano hilo kwani zawadi ni za uhakika.

Pamoja na shindano la headphones za Beats by Dre lakini pia gazeti la Spoti Xtra linalotoka kila Jumapili linaendesha shindano la kutoa jezi za timu za Ligi Kuu England.

Mshindi wa Beats by Dre zinaztolewa na Gazeti LA # SpotiXtra.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.