Mzaramo Wa Simba: Sisi Mashabiki Wa Simba Wanafiki Sana, Dokta Mudy Kakosea Sana”
SHABIKI wa Simba Maarufu kama Mzaramo amefunguka baada ya mechi ya timu yake dhidi ya Geita Gold Fc katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Mabao ya Simba yamefungwa na Saido Ntibanzokiza na Ladaki Chasambi (kila mmoja mawili).