Mzee Hiza Aliyepewa Mil 50 Na Rais Samia ”Vitoto Vya 2000 Havinisumbui” – Video
Masihara ya Mzee Hizza aliyeimba Tanzania Yetu na mkewe baada ya kupewa shilingi milioni 50 na Rais Samia Suluhu Hassan, yatakuvunja mbavu!
Mzee Hizza anasema lazima wezi wa fedha zake wawepo lakini mkewe anasema za mwizi ni arobaini huku akisisitiza kwamba vitoto vya 2000 havimsumbui wala havimpi mawazo ya kula fedha za mumewe!