Mzee wa Bwax Awachezesha Mashabiki Dar Live! – Video

MKALI wa miondoko ya Singeli, Mzee Wa Bwax, anayetamba na kibao chake cha ‘Kisimu Changu’ amezua kizaazaa katika tamasha la Bonsi Vibe Festival lililofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani (DAR LIVE) ulioko Mbagala-Zakhem, jijini Dar.

Easy Man amezua balaa hilo baada ya kupanda stejini na kuamshaamsha, hali iliyowafanya watu waliuohudhuria kwenye tamasha hilo kupandwa na kichaa na kucheza balaa.


Loading...

Toa comment