Mzee Wa Upako Ajilipua “Haji Manara Anafanyiwa Figisu Kuua Kipaji Chake”- Video
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka leo Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
Mzee wa Upako amefafanua zaidi kuwa Haji Manara amesababisha yeye anarejea kushabikia klabu ya Simba SC.