Mzee Warioba Atema Nyongo Kilichotokea Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa, Uhusika Wa Polisi – Video
Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika siku chache zilizopita.