‘Mzuka’ wa JPM Baada ya Kutua Dodoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, akicheza juu ya gari lake baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya kampeni za CCM leo Jumanne, Septemba 22, 2020.