The House of Favourite Newspapers

Nabii Buberwa Naye Atangaza Dawa Yake Ya Corona

0
Nabii Dkt. Buberwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

Nabii Dkt. Joseph Beberwa ametangaza dawa zake za tiba asilia ambazo zinatibu maradhi mbalimbali ukiwemo Covid- 19 unaosababishwa na virusi vya corona. Akizungumza na wanahabari Nabii huyo amesema dawa hizo pia zinatibu maradhi mengine, kama vile shinikizo la damu, kisukari, kansa, kuondoa sumu mwilini, macho, meno na mengineyo.

HABARI/PICHA:RICHARD BUKOS/GPL

Leave A Reply