The House of Favourite Newspapers

‘Nabii wa Corona’ Aomba Radhi, Waumini Wamlilia! – Video

0

 

Kiongozi wa Kanisa la Huduma ya Neno na Maombi lililopo Arumeru Mkoani Arusha, Moses Ibarahimu maarufu kama NabiiNamba Saba, ameomba radhi kwa Serikali na watu wote waliopata taharuki baada ya kutangaza kupitia mitandao ya kijamii kuwa amepewa maono ya kutengeneza dawa inayotibu homa ya mafua unaosabaishwa na virusi vya Corona.

 

Mtumishi huyo alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha na kuhojiwa kwa muda wa saa tisa kwa kosa la kutoa taarifa iliyozua taharuki kwenye jamii ambapo baadaye aliachiliwa kwa dhamana huku Jeshi hilo likiendelea na uchunguzi dhidi yake.

 

Leave A Reply