The House of Favourite Newspapers

Nadia’s House of Beauty yatoa misaada kwa yatima

0

10

4

Nadia Hazimat, mmiliki wa saluni ya Nadia’s House of Beauty, ambaye pia ni mdau wa michezo, akikabidhi misaada kwa watoto yatima wa kituo cha Hisani huko Mwasongwe, Kigamboni, Dar es Salaam.

6

Watoto wa kituo hicho cha Hisani wakiwa na zawadi walizopewa na Nadia.

7Nadia akihojiwa na mwandishi wa habari.

9Mtoto akitoa shukurani kwa misaada waliyopewa.

8Ustaadhi wa kituoni hapo akiomba dua ya shukurani.

2Nadia akimkabidhi ndoo ya mafuta mmoja wa watoto wa wa kituoni hapo.

NADIA HAZIMAT, mmiliki wa saluni  maarufu  jijini Dar es Salaam  kwa upambaji wa mastaa mbalimbali ijulikanayo kama Nadia’s House of Beauty,  iliyopo eneo la Msasani, ametoa  msaada wa vitu mbalimbali kwa kituo cha watoto yatima cha Hisani kilichopo Mwasongwe Kigamboni jijini Dar.

Nadia alisema kuwasaidia watoto yatima ni jambo la kheri, hivyo aliwaomba wadau wengine wajitokeze kuwasaidia watoto hao ambao wanahitaji misaada mbalimbali ya kila siku.

(PICHA NA IMELDA MTEMA/GPL)

Leave A Reply