Nafasi Ya Kazi Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT)
Taasisia ya Taifa ya Usafirishaji (NIT), kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inawaalika Watanzania wenye uwezo, wachapakazi, wenye uzoefu na sifa stahiki kujaza nafasi moja (1) ya kazi iliyoainishwa hapa chini. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 1 Aprili, 2025.