Nafasi Ya Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Moshi, Mwisho wa maombi Machi 30
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi daraja la II.
Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/C/067 cha tarehe 12/06/2024 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 30/03/202
Mchanganuo wa nafasi ni kama ifuatavyo –