The House of Favourite Newspapers

Nafasi ya Kazi Temeke Mwisho wa kutuma maombi Mei 12, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Temeke kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01F/100 cha tarehe 13 Machi, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Mei, 2025