The House of Favourite Newspapers

Nafasi ya Kazi

job-4e

Global TV Online, ni Televisheni ya kwenye mtandao inayofuatiliwa na watu wengi duniani, inahitaji kijana mwenye uwezo na ari ya kuipeleka mbele TV hiyo mwenye sifa zifuatazo: job-23

  • Anahitajika kijana wa kiume mbunifu, mwenye ari kubwa ya kazi za Social Media, mfuatiliaji wa matukio ya kimataifa, kitaifa, habari na anayeweza kujituma na kufanya kazi bila kusimamiwa na kuleta tija katika Global TV Online.
  • Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.

 

  • jobs-1
    Kijana mwenye sifa hizo, anatakiwa awe na uwezo na ujuzi wa kutosha wa kutumia video camera kuchukua matukio.
  • Aidha, anatakiwa awe na uwezo na ujuzi wa kuhariri picha za video kwa ubora wa hali ya juu (CAMERAMAN CUM VIDEO EDITOR).
  • Zaidi awe na ujuzi wa kuweka video kwenye mtandao wa You Tube na mitandao mingine y kijamii.

Mwisho:
Kama unafikiri una sifa zilizotajwa, niandikie barua ya kujieleza ukiambatanisha na vielelezo vyako. Kujieleza kwako kwa nini umadhani unastahili kupewa hiyo kazi ni muhimu zaidi kuliko kuambatanisha CV yako.
Maelezo hayo elekeza kwa:
MENEJA MKUU
GLOBAL TV
S.L.P 7534
DAR ES SALAAM
Wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Bamaga Mwenge (Nyuma ya TSN Petrol Station).

Simu: 022 2773356 au 0715 288627.

Mwisho wa kupokea maombi ni Januari 15, 2107

Comments are closed.