The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi 103 Taasisi Mbalimbali Za Umma

0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mifugo na Uvuvi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi miamoja na tatu (103) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17th Desemba, 2024

BONYEZA HAPA KUSOMA  >> TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

Leave A Reply