Nafasi za Kazi 118 Kutoka TAMISEMI, Mwisho 7 Desemba 201 8

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 118 kama inavyoon eshwa katika tangazo hili:- Kusoma nafasi zote za kazi Bonyeza hapa => TAMISEMI

Toa comment