Nafasi Za Kazi 14 Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)
Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kinakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na wenye nguvu kazi kushiriki katika kujaza nafasi kumi na nne (14) za ajira zilizoainishwa hapa chini.