The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 14 Mji Masasi, Mwisho wa kutuma maombi Juni 29, 2025,

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025.

Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo:-

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI MASASI >>> BONYEZA HAPA