The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi 15 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Mei 25, 2025

Kwa niaba ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA), Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (LITA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki na wenye ujuzi kuomba nafasi kumi na tano (15) za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini:

Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 25 Mei, 2025.

NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA >>>BONYEZA HAPA<<<