Nafasi za Kazi 21 MDAs & LGAs Mwisho wa kutuma maombi Mei 11, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini na moja (21) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 11 Mei, 2025