The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 231 Wizara ya Afya, Mwisho wa kutuma maombi Machi 19, 2025

Wizara ya Afya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa
kujaza nafasi 231 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma;

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19 Machi, 2025

Nafasi za kazi zilizotangazwa zipo hapa chini:-

-MUUGUZI DARAJA LA II (NURSE II) NAFASI 37
-DAKTARI WA UPASUAJI KINYWA NA MENO (DENTAL SURGEON II)
NAFASI 4
-FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST II) NAFASI 18
-AFISA FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPY OFFICER II –
NAFASI 13
-MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II)
NAFASI 22
-MTOA TIBA KWA VITENDO DARAJA LA II (OCCUPATIONAL THERAPIST
II) NAFASI 14
-MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II
-RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) NAFASI
7
-TABIBU WA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST) NAFASI 49
-MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST)
NAFASI 7
-DAKTARI BINGWA DARAJA II – (OBSETRIST & GYNAEOCOLGY II)-
NAFASI 6
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (INTERNAL MEDICINE II) (PHYSICIAN) II-
NAFASI 5
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (PEDITRICIAN II)- NAFASI 4
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (GENERAL SURGEON II)- NAFASI 4
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (RADIOLOGY II)- (NAFASI 2
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (EMERGENCY MEDICINE II)- NAFASI 2
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (UROLOGIST II)- NAFASI 1
-DAKTARI BINGWA DARAJA II (OPTHALMOLOGIST II)- NAFASI 1
-FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) – NAFASI 33

-DAKTARI BINGWA DARAJA II – (ANAESTHEOLOGIST II) -NAFASI 2

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >>>NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA