Nafasi Za Kazi 2,611 MDAs NA LGAs Mwisho wa Maombi Februari 20, 2025
Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Februari, 2025
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
BONYEZA HAPA KUSOMA >>> NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs