The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi 28, Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi, Mwisho Maombi Novemba 26, 2024

0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi Ishirini na nane (28) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

-MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA HESABU) – NAFASI 21

-MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI- FANI YA SAYANSI YA
SIASA (POLITICAL SCIENCE) – NAFASI 2

-MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI – FANI YA
USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA) NAFASI 1

-MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI – FANI YA
UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHAMA (PROGRAMMING) NAFASI 1

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Novemba, 2024

 SOMA ZAIDI HAPA NAFASI ZA KAZI OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI >>>BONYEZA HAPA

CHANZO cha UGONJWA wa MZEE KING KIKII – MKEWE ALIVYOKATAA KWENDA kwa MGANGA wa KIENYEJI #MAKTABA

Leave A Reply