Nafasi za Kazi 30 MDAs & LGAs, MHANDISI DARAJA LA II (UMEME)
POST | MHANDISI DARAJA LA II (UMEME) – 30 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-04-19 2023-04-25 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakiwa;
ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya umeme ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi; iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi; iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme (Bachelor of Science in Electrical Engeneering) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi(ERB) |
REMUNERATION | TGS.E |