Nafasi za Kazi 42 MDAs & LGAs, AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II
POST | AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICER II) – 42 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-04-19 2023-05-25 |
JOB SUMMARY | OK |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio;
ii.Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio; iii.Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora; iv.Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti; v.Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo; vi.Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya halmashauri; vii.Kukusanya takwimu za mvua; viii.Kushiriki katika savei za kilimo; ix.Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia; x.Kupanga mipango ya uzalishaji; xi.Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi; xii.Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo; xiii.Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima; xiv.Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu; xv.Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea; xvi.Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo; xvii.Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji; xviii.Kutoa ushauri wa kilimo mseto; xix.Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira na; xx.Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha nne (IV) au Sita (VI) wenye stashahada (Diploma) ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
|
REMUNERATION | TGS C |