Nafasi za Kazi 52 Halmashauri ya Jiji la Arusha, Bofya Hapa
Kwa mujibu wa kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, anawatangazia wananchi wote Raia wa Tanzania kuomba nafasi
za Kazi zifuatazo:-